BABA WA MAREHEMU WILLY MZEE EDWARD OGUNDE AKIAGA MWILI WA MWANAYE |
BAADHI YA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKISHIRIKI KUSHUSHA KABURINI JENEZA LILILOBEBA MWILI WA WILLY EDWARD |
WAOMBOLEZAJI WAKIWA WAMEJIPANGA MSTARI KUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLY KABLA YA MAZIKO MUGUMU SERENGETI JANA |
SEHEMU YA UMATI WA WAOMBOLEZAJI WALIOHUDHURIA MAZIKO YA WILLY EDWARD JANA JIONI |
MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ABSALOM KIBANDA AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLY JANA JIONI |
MKUU WA WILAYA YA MAGU JACQULINE LIANA AMBAYE PIA NI MWANAHABARI AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLY |
MJANE WA MAREHEMU WILLY EDWARD AKIUAGA MWILI WA MUMEWE WA KUUBUSU KABLA YA MAZIKO JANA MCHANA |
WATOTO WA MAREHEMU WAKIWEKA SHADA LA MAUA KABURI KWA BABA YAO WAKATI WA MAZIKO KIJIJINI MUGUMU SERENGETI JANA JIONI |
Post a Comment
Post a Comment