RAIS KIKWETE AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI ENEO LA SWAYA NJE KIDOGO YA JIJI LA MBEYA |
RAIS KIKWETE AKIHUTUBIA WANANCHI WA MBEYA KATIKA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA |
KAMISHNA WA UMOJA WA ULAYA KITENGO CHA MAENDELEO ANDRIS PIEBALGS AKISALIMIANA NA WAKAZI WA SWAYA MBEYA MARA BAADA YA KUWASILI ENENO LA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI |
Rais Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Swaya kwa ajili ya uzinduzi wa Mradi wa maji safi
Rais Kikwete akisalimiana na Baadhi ya watu wanao husika na Mradi eneo hilo
Muda Mchache baada ya Ndege ya Rais Kuwasili katika uwanja wa kimatiafa wa Songwe Mbeya
Umati wa watu ukimngojea Mh. Rais Jakaya Kikwete
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa anashuka kwenye ndege
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na madiwani
Rais Dr Jakaya Kikwete akiwa anapita kati kati ya watoto skaut
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiendelea kusalimiana na waheshimiwa Madiwani
Rais Dr Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi katika uwanja wa Kimataifa wa Songwe Mbeya
Rais Jakaya Kikwete akivishwa Skafu mara baada ya kutua kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Kimataifa wa Songwe(SIA)
Post a Comment
Post a Comment