MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIZINDUA KITUO CHA ASKARI WA USALAMA BARABARANI |
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MOJA YA MINARA KATI YA MINARA MINNE INAYOTOA ISHARA YA JIJI LA MBEYA KATIKA BANDA LA MAONESHO YA NANE NANE LA JIJI LA MBEYA |
MKURGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDD AKIMKARIBISHA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO KATIKA BANDA LA JIJI LA MBEYA KWENYE MAONESHO YA KILIMO NANE NANE |
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIJARIBU AKIANGALIA KITANDA CHA DUARA USANIFU WA MAFUNDI WA CHUO CHA MAGEREZA RUANDA KATIKA BANDA LA MAGEREZA. |
MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIJARIBU KIATU KATIKA BANDA LA MAGEREZA KWENYE MAONESHO YA NANE NANE (Picha zote na Rashid Mkwinda) |
Post a Comment
Post a Comment