Ads (728x90)

DAUDI MWANGOSI (KULIA) ENZI ZA UHAI WAKE AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWENYEKITI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI LINDI AHMED ABDUL AZIZ WAKATI WA SEMINA ELEKEZI JUU YA SENSA ILIYOFANYIKA IRINGA HIVI KARIBUNI


MWANDISHI WA HABARI WA KITUO CHA TELEVISHENI CHA CHANEL TEN CHA IRINGA AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI IRINGA (IPC)AMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA ASKARI POLISI, WAKATI POLISI WALIPOKUWA WALIPOFYATUA MABOMU WAKATI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).CHAMA HICHO KILIKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUFUNGUA TAWI KATIKA KIJIJI CHA NYORORO WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA.TAARIFA ZAIDI ZA TUKIO HILI ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU..  

Post a Comment

Post a Comment