Hivi ndivyo alivyouawa Daudi Mwangosi picha namba moja akiwa ameshika kamera yake akitabasamu huku akimfanyia mahoajiano kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda, bila kujua ndani ya fikra za Kamuhanda kuna roho ya shetani ikimtuma kufanya mauaji siku hiyo.Picha namba mbili akiwa amezongwa na askari akipewa kichapo, picha namba tatu mwili wa marehemu ukiwa pembeni ya askari aliyejeruhiwa, picha namba nne askari wakitoweka baada ya kumuua Mwangosi, Picha namba sita askari wakiwa wanaondoka eneo la mauaji picha na,ba 7 mwili wa marehemu ukiwa umetelekezwa huku askari wakiwa wametoweka eneo hilo |
Post a Comment
Post a Comment