MTARO HUU WA MAJI MACHAFU UKO KATIKATI YA JIJI LA MWANZA MTAA WA LIBERTY AMBAPO PEMBENI YAKE WATU HUJISHUGHULISHA NA BIASHARA MBALIMBALI BILA KUJALI MADHARA YA KIAFYA AMBAYO INAWEZA KUWAKABILI |
MFEREJI WA MAJI MACHAFU KAMA UNAVYOONEKANA PICHANI, HUKU PICHA YA CHINI BAADHI YA WAFANYABIASHARA NA WANUNUZI WAKITAFURA BIDHAA KATIKA SOKO MAARUFU ENEO LA LIBERTY JIJINI MWANZA |
Post a Comment
Post a Comment