ENEO hili lipo Jijini Dar es salaam, na hapa ni Kawe karibu na uwanja wa
Tanganyika Packers ambapo kwa sasa panatumika kama eneo la Ibada ya
Uponyaji, lakini hata hivyo ibada inayoendelea hapo haiponyi mateja hao
ambao huvuta bangi, hujidunga,kufanya mambo ya kihalifu, Gari hili bovu
linatumika kama makazi yao mamlaka zinazohusika hazijachukua hatua
yoyote dhidi ya vitendo vinavyoendelea hapa. |
Post a Comment
Post a Comment