Ads (728x90)

HIVI NDIVYO ILIVYO KWA MIKUTANO MIKUU YA VYAMA VIWILI VYENYE UPINZANI MKUBWA CCM NA CHADEMA PICHA HIZI ZIMEPIGWA KWA NYAKATI MBILI TOFAUTI KATIKA MIKUTANO MIWILI TOFAUTI KATIKA ENEO MOJA LA MWANJELWA WAKATI CCM ILIFANYA MKUTANO WIKI MOJA ILIYOPITA KATIKA STENDI YA KABWE CHADEMA WAMEFANYA MKUTANO WAKE LEO HII SOKO LA SIDO


VYAMA VYOTE VIWILI VINACHUANA VIKALI WAKATI CHADEMA IKIJIHAKIKISHIA KULISHIKILIA JIMBO HILO HADI MWAKA 2025 CCM INADAI KUWA ITALIPOKONYA KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO WA MWAKA 2015










HATIMA YA MAJIGAMBO YA VYAMA HIVI NI HAPO IFIKAPO MWAKA 2015 KILA KIMOJA KIKIONESHA MSIMAMO WAKE KWAMBA JIMBO HILO BADO NI MALI YAKE PAMOJA NA KUWA KWA SASA LIKO CHINI YA CHADEMA LIKIONGOZWA KUPITIA MBUNGE WAKE JOSEPH MBILINYI MAARUFU KWA JINA LA SUGU









Post a Comment

Post a Comment