Ads (728x90)

MCHUANO WA KUWANIA LIGI DARAJA LA TATU NGAZI YA MKOA INAENDELEA AMBAPO JANA TIMU YA KIMONDO YA WILAYANI MBOZI ILIICHABANGA BILA HURUMA TIMU YA AIR PORT YA JIJINI MBEYA.

MAGOLI YA KIMONDO YALIFUNGWA KATIKA KIPINDI CHA PILI  NA WASHAMBULIAJI MAHIRI WA TIMU HIYO JOHN MWANJI ALIYEFUNA BAO LA KWANZA NA FAJENT SWAJI ALIYEIPATIA TIMU YAKE BAO LA PILI HUKU GOLI LA TIMU YA AIRPORT LIKIPATIKANA KATIKA DAKIKA ZA MWANZO ZA MCHEZO HUO.











Post a Comment

Post a Comment