M4c: Melerani simanjiro na kamanda lema, nassary, heche na makamanda wa arusha!
Leo makamanda wa Arusha tumewaliza 
magamba Kata ya Melerani jimbo la Olesendeka, ni ukweli usiopingika 
majimbo yanayoongozwa na wabunge wa magamba hayana maendeleo, Melerani 
yenye Tanzanite imechoka utafikiri ni wakata mkaa kumbe wana rasilimali 
pekee inayopatikana Melerani duniani mzima. Niliwaambia wananchi wa 
Melerani kama kuna watanzania wanapaswa kuwa na hasira na CCM wao 
wanapaswa kuwa wa kwanza, waoneshe mfano wa kuiadhibu CCM ili iwe na 
Adabu za rasilimali za watanzania
 
Post a Comment