| HALI YA JIJI LA MBEYA NA KIBARIDI, KIJIMVUA | 
| BAADHI YASAO HULAZIMIKA KURUKA VIDIMBWI VYA MAJI KUTOKANA NA MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA JIJINI | 
| HATA HIVYO WENGINE HUJISHUGHULISHA NA MAANDALIZI YA NGUO ZA SIKU KUU | 
| BAADHI YAO HUTUMIA FURSA YA SIKU KUU KUJITAFUTIA RIZIKI KAMA ANAVYOONEKANA MUUZA MAUA HUYU AKITA NYUMBA MOJA HADI NYINGINE KUTAFUTA WATEJA | 
| WATOTO WANAOZURURA MITAANI NAO HAWAACHI KUCHAKURA KATIKA MADAMPO YA TAKATAKA KATIKA HARAKATI ZILE ZILE ZA KUTAFUTA CHOCHOTE | 
| WANAHABARI WA MKOA WA MBEYA NAO WAKITOKA KATIKA VIKAO VYA MAANDALIZI YA SIKUKUU | 
| BILA KUSAHAU PIA UTANI WA HAPA NA PALE KATIKA HARAKATI ZILE ZILE ZA KUCHANGAMSHA BONGO NA AKILI KATIKA KUTAFSIRI KILE WALICHOSEMA SOURCES NA KUWEKA KATIKA STORI ZAO | 
Post a Comment