HALI YA JIJI LA MBEYA NA KIBARIDI, KIJIMVUA |
BAADHI YASAO HULAZIMIKA KURUKA VIDIMBWI VYA MAJI KUTOKANA NA MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA JIJINI |
HATA HIVYO WENGINE HUJISHUGHULISHA NA MAANDALIZI YA NGUO ZA SIKU KUU |
BAADHI YAO HUTUMIA FURSA YA SIKU KUU KUJITAFUTIA RIZIKI KAMA ANAVYOONEKANA MUUZA MAUA HUYU AKITA NYUMBA MOJA HADI NYINGINE KUTAFUTA WATEJA |
WATOTO WANAOZURURA MITAANI NAO HAWAACHI KUCHAKURA KATIKA MADAMPO YA TAKATAKA KATIKA HARAKATI ZILE ZILE ZA KUTAFUTA CHOCHOTE |
WANAHABARI WA MKOA WA MBEYA NAO WAKITOKA KATIKA VIKAO VYA MAANDALIZI YA SIKUKUU |
BILA KUSAHAU PIA UTANI WA HAPA NA PALE KATIKA HARAKATI ZILE ZILE ZA KUCHANGAMSHA BONGO NA AKILI KATIKA KUTAFSIRI KILE WALICHOSEMA SOURCES NA KUWEKA KATIKA STORI ZAO |
Post a Comment
Post a Comment