TANGAZO                      TANGAZO                      TANGAZO
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI
DIWANI ATHUMANI ANAWATAHADHARISHA WANANCHI WOTE WA MKOA WA MBEYA KUWA  MAKINI NA MIENENDO YA WATOTO WAO WAENDAPO NA
WARUDIPO SHULENI NA WAWAPO MICHEZONI. HAKIKISHENI WANARUDI NYUMBANI MAPEMA,
WAFUNDISHENI KUTOPOKEA ZAWADI AU LIFTI KUTOKA KWA WATU WASIOWAFAHAMU, KWA
KUFANYA HIVYO ITASAIDIA KUWAEPUSHA WATOTO WETU NA VITENDO VYA WIZI WA  WATOTO UNAOWEZA KUJITOKEZA . TAHADHARI HII
INATOKANA NA KUIBUKA KWA WIMBI LA MATUKIO YA WIZI WA WATOTO WADOGO.

Post a Comment