| MENEJA NMB KANDA YA MBEYA LUCRESIA MAKIRIYE | 
| KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI AKISISITIZA JAMBO JUU YA MATUMIZI YA ATM NA UANGALIFU KATIKA KUTUNZA NAMBA ZA SIRI KUEPUKA WIZI KATIKA BENKI | 
| BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MKOA WA MBEYA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATEJA WA NMB | 
| WAJASIRIAMALI NA WATEJA WA NMB WAKIFUATILIA MAFUNZO KUTOKA KWA WAWEZESHAJI | 
| MMOJA WA WATEJA WA NMB ALIYEJITAMBULISHA KWA JINA LA MAMA OLIVER AKIELEZEA CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO WAFANYABIASHARA WADOGO WAKATI WA MIKOPO | 
| OFISA ARDHI WA JIJI LA MBEYA CASTRO NTALA AKIELEZEA MFUMO WA UGAWAJI WA VIWANJA KWA WATEJA NA CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO | 
| MMOJA WA WATEJA WA NMB AKIULIZIA NAMNA AMBAVYO WATEJA WADOGO WANAWEZA KUNUFAIKA NA MIKOPO YJA NMB | 
| WAJASIRIAMALI WA NMB WAKIFUATILI KWA MAKINI MAFUNZO YANATOTOLEWA | 
| MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA VIWANDA NA KILIMO TCCIA JULIUS KAIJAGE AKIELEZEA NAMNA AMBAVYO WAFANYABIASHARA WANAVYOTAKIWA KUJITOKEZA KUKOPA MIKOPO KWA AJILI YA KUJIENDELEZA KIBIASHARA | 
| BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB KUTOKA MAKAO MAKUU WAKIJITAMBULISHA KWA WAJASIRIAMALI, KUTOKA KULIA NI JEREMIAH LYIMO,DICKSON PANGAMAWE,BORONDO CHACHA NA BEATRICE MWAMBIJE | 
| MWENYEKITI WA KLABU YA WATEJA WA BENKI YA NMB JEREMIAH MAHENGE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO KATIKA BIASHARA | 
| OFISA WA BENKI WA NMB JEREMIAH LYIMO AKITOA UFAFANUZI KWA WAJASIRIAMALI KATIKA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI JIJINI MBEYA | 
| MMOJA WA WATEJA WA NMB AKIULIZA SWALI WAKATI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATEJA WA NMB MWISHONI MWA WIKI JIJINI MBEYA | 
| BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB KUTOKA MATAWI MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA | 
| WATEJA WA BENKI YA NMB NA WAJASIRIAMALI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA KWA WAWEZESHAJI WA NMB | 
| MMOJA WA WAFANYABIASHARAA NA MTEJA WA NMB IPINI WA IPINI AKISHUKURU KWA NIABA YA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA MBEYA | 
Post a Comment