| MEYA WA JIJI LA MBEYA ATHANAS KAPUNGA:''Kuanzia sasa ushuru wa sh. 58,000 usitishwe, maana naona unatishia amani na utulivu wa jiji letu'' | 
| EMANUEL MBUZA: ''Nipeni nafasi ya kujieleza mbona hamnipi haki yangu'' | 
| MEYA WA JIJI: ''Hapana hapa sheria lazima ifuatwe tutafute utaratibu mzuri wa ukusanyaji ushuru usiwe kikwazo kwa wafanyabiashara'' | 
| MBUZA; ''Naomba na mimi niseme angalau kidogo!! kuhusiana na suala hili! mbona mnaninyima chance'' | 
| MBUZA ALIPATA NAFASI YA KUFUNGUKA MBELE YA WANAHABARI NA KUELEZA KUWA AMETUHUMIWA KWA MENGI LAKINI WENYE MATATIZO NI HALMASHAURI YA JIJI KUTOWEKA BAYANA SHERIA ZA UKUSANYAJI USHURU. | 
| VIONGOZI WA CHAMA TAWALA NAO WALIKUWEMO NDANI YA NYUMBA KUWEKA BAYANA SERA NA ILANI ZA CHAMA KUHUSIANA NA UTOZAJI WA USHURU. | 
| KAPUNGA: ''Hapa lazima tutumie busara maana hawa jamaa wamechachamaa vinginevyo itatuletea tabu hata kwenye vikao vya chama tawala''. | 
| MBUZA; Sumatra ndio tatizo kubwa katika sekta ya usafirishaji. | 
| ''Hili lazima tuliweke sawa mie nalaumiwa bure wakati wenye makosa ni Jiji wenyewe.'' | 
Post a Comment