Ads (728x90)

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI DKT. EMANUEL NCHIMBI

IGP SAID MWEMA

Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia), akiwa na  Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Augustino Shio.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI





WAZIRI wa Mambo ya Ndani Dkt. Emanuel Nchimbi amewatimua kazi maofisa wa Jeshi la Polisi kutokana na tuhuma mbalimbali wakiwemo Ofisa Upelelezi wa mkoa wa Mbeya(RCO)Elias Mwita,Naibu RCO Jacob Kiangi na Mkuu wa kikosi cha FFU mkoani Mbeya Charles Kinyongo kwa kuhusika na upotevu wa dawa za kulevya zilizokamatwa mpakani mwa Tanzania na Zambia.

Post a Comment

Post a Comment