|  | 
| MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA NA MKEWE MWALIMU YOLANDA KABELEGE WAKILA KIAPO CHA NDOA KATIKA KANISA LA KKKT LA MJINI NJOMBE | 
|  | 
| WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIMPONGEZA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA BAADA YA KUFUNGA NDOA MJINI NJOMBE JANA | 
|  | 
| BABU KAPATA BIBI!!!, NI PICHA YA PAMOJA KATI YA MAHARUSI MZEE MANGULA NA MWALIMU KABELEGE KATIKA KANISA LA KKKT NJOMBE JANA | 
|  | 
| WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA ABDULRAHMAN KINANA WAKIWAPONGEZA MAHARUSI BAADA YA KUFUNGWA KWA NDOA HIYO KATIKA KANISA LA KKKT-NJOMBE JANA, (Picha zote na mdau wa blog hii kutoka mkoani Njombe) | 
Post a Comment