MENEJA WA NMB KANDA YA MBEYA LUCRISIYE MAKIRIYE AKISISITIZA JAMBO JUU YA UTENDAJI WA BENKI YA NMB KWA WATEJA WAKE KWENYE MKUTANO WA TAMONGSCO JIJINI MBEYA |
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA NMB WAKIWA KATIKA BANDA LA NMB KWENYE UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA |
OFISA WA NMB AKIMPA MAELEZO MWANANCHI ALIYETEMBELEA BANDA LA NMB KWENYE MKUTANO WA SIKU MBILI WA TAMONGSCO JIJINI MBEYA |
MWENYEKITI WA TAMONGSCO MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI MENEJA WA SHULE YA SEKONDARI YA ST FRANCIS AKIWAPONGEZA MAMENEJA WA BENKI YA NMB KUTOKANA NA UWEZO WAO WA KUWAFIKIA WANANCHI WA NGAZI ZA CHINI |
''HONGERA KWA TAARIFA NZURI'' WAFANYAKAZI WA NMB WAKIPONGEZANA KWENYE BANDA LA NMB NJE YA UKUMBI WA MKAPA |
MWENYEKITI WA TAMONGSCO TAIFA, MAHAMUD MRINGO AKIZUNGUMZA JAMBO KATIKA MKUTANO MKUU TAMONGSCO ULIOFANYIKA JIJINI MBEYA HIVI KARIBUNI |
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI PHILIPO MULUGO AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA TAMONGSCO JIJINI MBEYA |
MENEJA WA NMB KANDA YA MBEYA NA MAMENEJA WENZIE WA BENKI HIYO WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAELEZO YA MIKOPO KUTOKA KWA MWEZESHAJI WA NMB SUZAN SHUMA KATIKA MKUTANO WA TAMONGSCO JIJINI MBEYA |
''HONGERA SANA KWA UWEZESHAJI WENU'' PADRE INNOCENT SANGA AKIWAPONGEZA WAFANYAKAZI WA NMB |
''KAZI TUMEIFANYA TUNASTAHILI KUFURAHIA'' |
Post a Comment
Post a Comment