PRISON YAIPIGISHA KWATA MGAMBO JKT YAITANDIKA BAO 1-0 Rashid Mkwinda 7:29 PM Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akikabidhi kitita cha sh. 500,000 kwa kapteni wa timu ya Prison Fredy Chudu baada ya timu hiyo kuishinda timu Mgambo JKT ya Tanga kwa bao 1-0 michezo
Post a Comment
Post a Comment