NA SISI
NDIO TUNALIPA FEDHA CHUONI HAPO, KWANINI MNAKUBALI KUNUNULIWA WA VIJIELFU KUMI
KUMI, WANGEKUWA WATOTO WENU MNGEKUBALI KUANDIKA UJINGA HUU?" NDIVYO
AMBAVYO WALIONEKANA KUSEMA NA HATA KUSABABISHA MWANDISHI WA BLOGU HII KUPANDA
JAZBA KUTOKANA NA WANAFUNZI HAO KUKOSA DISPLIN! KWA KUTOA MANENO YA KEJELI KWA
WANAHABARI.
SIKILIZENI
NYINYI SIE KILA MWANAHABARI ANATUMIWA WENGINE TUPO KWA AJILI YA KUWASAIDIA
MATATIZO YENU HEBU KUWENI WASTAARABU, SISI NDIO KISEMEO CHENU KILIO CHENU NANI
ATAKISIKILIZA BILA SISI" ALIONGEA MWANDISHI WA BLOGU HII AMBAPO HATA HIVYO
ALIENDELEA KUZOMEWA NA KUELEZWA KUWA HANA TOFAUTI NA YULE ALIYEANDIKA TAARIFA
ZILE KWA KUWA TANGU KILIO HICHO KIMEANZA KUTOLEWA NA WANACHUO HAO WANAHABARI
WANAFIKA CHUONI HAPO WANAINGIA KWA MENEJA WA CHUO KISHA WANAONDOKA KIMYA KIMYA
BAADA YA KUKATIWA MSHIKO.
WANAFUNZI
HAO BAADA YA KUONA KUWA HAKUNA MSAADA WOWOTE WANAOUPATA WALIAMUA KUANDAMANA
HADI KWENYE OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MBEYA KWA AJILI YA KUTOA KILIO CHAO NA
BAADAYE KUKUTANA NA OFISA TAWALA WA WILAYA GEOFREY ANANIA AMBAYE ALIWAAMBIA
KUWA SUALA LAO LINASHUGHULIKIWA ILI KUPATIWA UFUMBUZI.
| |
Post a Comment
Post a Comment