MAJENEZA YA WATU WALIOKUFA KWA MLIPUKO WA BOMU LILILORUSHWA KANISANI JUMAPILI ILIYOPITWA KABLA YA MAZISHI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH MFANYAKAZI WA OLASITI JIJINI ARUSHA |
VIONGOZI WA KISIASA WALIHUDHURIA MAZIKO HAO AKIWEMO WAZIRI WA MAMBO YA NDANI DKT. EMMANUEL NCHIMBI. JAMES MBATIA, FREEMAN MBOWE NA VIONGOZI MBALIMBALI WA MADHEHEBU MENGINE YA KIKRISTO |
KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH MFANYAKAZI LA OLASITI JIJINI ARUSHA AMBALO JUMAPILI ILIYOPITA LILITUPIWA BOMU NA KUSABABISHA VIFO VYA WAUMINI WATATU |
KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI FREEMAN MBOWE AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MOJA YA KABURI LA WALIOKUFA KWA KULIPUKIWA NA BOMU LILILORUPIWA KANISANI JIJINI ARUSHA |
KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI FREEMAN MBOWE NA MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI TAIFA JAMES MBATIA WAKIWEKA MCHANGA KATIKA MAKABURI YA WATU WATATU WALIOKUFA KWA KULIPUKIWA NA BOMU |
MAJENEZA YENYE MIILI YA WATU WALIOKUFA KWA KULIPULIWA NA BOMU KABLA YA KUZIKWA JIJINI KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH MFANYAKAZI OLASITI JIJINI ARUSHA |
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI AKITETA JAMBO NA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA FREEMAN MBOWE NA MBUNGE WA ARUSHA GODBLESS LEMA WAKATI WA IBADA YA MAZISHI YA WATU WATATU JIJINI ARUSHA |
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWASILI KANISANI KUHUDHURIA IBADA YA MAZISHI YA WATU WATATU WALIOFARIKI KWA KUTUPIWA BOMU KANISANI |
Post a Comment
Post a Comment