| OFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TULIZO KILAGA AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU ZIARA YA WANAHABARI KATIKA KIMONDO | 
| KIBAO KINACHOELEKEZA KILIPO KIMONDO KUTOKA BARABARANI KIJIJI CHA NDOLEZI WILAYANI MBOZI | 
| WANAHABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKIONGOZWA NA OFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TULIZO KILAGA (MWENYE KAMERA)WAKIELEKEA KWENYE KIMONDO | 
| KIMONDO CHENYEWE NI HIKI KINADAIWA KUONEKANA MWAKA 1930 NA KUINGIZWA KATIKA MAMBO YA KALE MWAKA 1931 | 
| MHIFADHI MKUU WA MAMBO YA KALE FILMERICK BASANGE AKIELEZEA HISTORIA YA KIMONDO HICHO KWA WANAHABARI WALIOTEMBELEA | 
| MHIFADHI MKUU WA MAMBO YA KALE FIMERICK BASANGE AKIONESHA ENEO AMBALO KIPANDE CHA JIWE LA KIMONDO KILIKATWA NA KUPELEKWA KUFANYIWA UTAFITI | 
|  | 
Teh, teh, Mmependeza jamani dah!especially picha tatu za mwisho!
ReplyDelete