Ads (728x90)

HIZI NI BAADHI YA ADHABU ZINAZODAIWA KUTEKELEZWA NA MAJESHI KATIKA BAADHI YA MAENEO KWENYE NCHI ZA KIAFRIKA, BAADHI YA WANANCHI WAMEELEZEA HOFU YAO KUFUATIA TAMKO LA KIONGOZI MKUU WA NCHI KUAMURU ASKARI KUWAPIGA WATU WANAOKIUKA SHERIA NA TARATIBU ZA NCHI, KAMA HILI LINATENDEKA KABLA YA KUTOLEWA TAMKO LOLOTE LA KIONGOZI MKUU WA NCHI ITAKUWAJE MARA BAADA YA KUTOLEWA RASMI TAMKO LA KUWATAKA ASKARI KUWAPIGA WAHALIFU?

Post a Comment

Post a Comment