OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA TEKU IKIWA IMEFUNGWA |
WANAHABARI WAKIMSUBIRI MAKAMU MKUU WA CHUO KUTOA TAMKO JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA TEKU |
WANAHABARI WAKIWA WAMEKAA MLANGONI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA TEKU KUSUBIRI TAMKO |
BAADA YA KUSUBIRI KWA MUDA MREFU WANAHABARI WANALAZIMIKA KUANDIKA KIMEMO KWA MAKAMU MKUU WA CHUO ILI KUTOA TAMKO AMBALO AMEKUSUDIA KUTOA KWA WANAHABARI JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI WA CHUO HICHO |
HATA BAADA YA KUTUMA KIMEMO KWA MAKAMU MKUU WA CHUO HICHO BADO WANAHABARI WALIENDELEA KUSIMAMA MLANGONI, HUKU BAADHI YAO WAKIWA WAMECHOKA NA KUAMUA KUPUMZIKA KATIKA VITI |
BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA TEKU AMBAO HAWAJUI HATIMA YAO YA MITIHANI BAADA YA WAHADHILI WA CHUO HICHO KUTISHIA KUITSHA MGOMO |
Post a Comment
Post a Comment