Ads (728x90)

WASHINDI WA TUZO YA TANAPA WAKIWA NJE YA JENGO LA KUMBUKUMBU YA UBAGUZI WA RANGI NCHINI AFRIKA KUSINI

WASHINDI WA TUZO YA TANAPA WAKIWA NYUMBANI KWA MKE WA KWANZA WA MZEE MANDELA, WINNIE MANDELA

MWANDISHI FESTO SIKAGONAMO AKIANGALIA KWA MAKINI KITANDA KILICHOKUWA KIKITUMIWA NA MZEE MANDELA
MWANDISHI WA HABARI WA ITV NA RADIO ONE FESTO SIKAGONAMO AKIWEKA SHADA LA MAUA KUMTAKIA AFYA NJEMA MZEE NELSON MANDELA NCHINI AFRIKA KUSINI

MWANDISHI WA HABARI FESTO SIKAGONAMO AKIWEKA SAINI KITABU CHA KUMTAKIA AFYA NJEMA, MZEE NELSON MANDELA NCHINI AFRIKA KUSINI, KULIA KWAKE NI MWANDISHI WA HABARI WA TBC TAIFA ALEX MAGWIZA NA KUSHOTO NI MTANZANIA ANAYEISHI MJINI JOHANESBURG AFRIKA KUSINI JASPER MASIKA


NDANI YA GEREZA LA ZAMANI KATIKA MAHAKAMA YA KATIBA MJINI JOHANESBUR MFANO WA WAFUNGWA JINSI WALIVYOKUWA WAKILALA GEREZANI

IKULU YA AFRIKA KUSINI

Post a Comment

Post a Comment