WAANDISHI WA HABARI WATANO AMBAO NI WASHINDI WA TUZO ZA SHIRIKA LA HIFADHI YA TAIFA TANAPA WAKIWA NJE YA NYUMBA YA MZEE NELSON MANDELA JOHANESBURG NCHINI AFRIKA YA KUSINI |
MTAA WA NYUMBANI KWA MZEE MANDELA NCHINI AFRIKA KUSINI |
MWANDISHI WA HABARI KUTOKA TANZANIA FESTO SIKAGONAMO AKIWA MBELE YA JENGO LA MAHAKAMA YA KATIBA NCHINI AFRIKA KUSINI AMBAKO MZEE HUYO ALIHUKUMIWA NA KUFUNGWA JELA MIAKA 27 |
SHIRIKA LA HIFADHI YA TAIFA TANAPA, LIMEWAPELEKA WAANDISHI WATANO
WASHINDI WA TUZO YA HABARI ZA TANAPA KATIKA ZIARA YA KIMAFUNZO YA SIKU
KUMI NCHINI AFRIKA KUSINI.
WAANDISHI HAO FESTO SIKAGONAMO WA (ITV RADIO ONE),FINIASHI BASHAYA (MWANANCHI) LILIANI SHIRIMA (TBC1)ALEX MAGWIZA(TBC TAIFA) NA ALBANO MIDELO (DIRA MTANZANIA)
WAANDISHI
HAO AMBAO PIA WAMEAMBATANA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PAMOJA
NA MENEJA UHUSIANO WA SHIRIKA LA HIFADHI YA TAIFA MALIASILI NA UTAALII .
KATIKA
ZIARA HIYO WAANDISHI WATATEMBELEA VIVUTIO MBALIMBALI VYA UTALII IKIWA
NI PAMOJA NA KUJIFUNZA UZOEFU WA SHUGHULI ZA UTALII KATIKA VIVUTIO
VILIVYOPO NCHINI HUMO.
Post a Comment
Post a Comment