Machinga akitembeza jezi za Yanga katika mitaa ya Jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mpambano baina ya Timu ya Yanga ya Dar es salaam na Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu inayotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Septemba 14 |
Post a Comment
Post a Comment