Ads (728x90)

Wajumbe wa kamati maalumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara wakizungumza na uongozi wa kampuni ya Vileo ya (TBL) walipotembelea Kiwandani hapo kufuatilia changamoto mbalimbali za Viwanda.
Kaimu Mkuu wa Kiwanda Tito Kasele akiwaonesha wageni ramani ya kiwanda hicho











Wajumbe wa kamati ya Wizara ya Viwanda na Biashara wanaofuatilia changamoto za Viwanda wakitembezwa katika maeneo mbalimbali ya uzalishaji wa Bia katika kiwanda cha vileo cha (TBL)Iyunga jijini Mbeya.




Post a Comment

Post a Comment