ANKAL Michuzi akiwa na Prof John Nkoma DG/TCRA na Innocent Mungy MCC/TCRA wakati wa mapumziko mafupi kwenye mafunzo mafupi ya Blogers wa Tanzania |
CEO wa Jamii Forum Mike Mushi akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa Blogers wa Tanzania kwenye Ukumbi wa TCRA jijini Dar es salaam leo asubuhi |
Prof John Nkoma akielezea umuhimu wa Blogers kujitambua na kufanya kazi kwa weledi wakati wa mafunzo kwa Blogers jijini Dar leo asubuhi |
Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blogu Joseph Mwaisango akielezea uzoefu wake katika mitandao ya Kijamii na changamoto anazokutana nazo |
Mwandishi wa Blogu hii Rashid Mkwinda akielezea changamoto na mafanikio aliyokutana nayo katika kazi za uandishi wa Blogu |
Mwezeshaji wa mafunzo kwa Blogers Liz Wachuka akitoa ufafanuzi namna ya kupata Viewers kupitia mtandao wa Google |
Baadhi ya Blogers kutoka maeneo mbalimbali nchini wakiwasili katika ukumbi wa TCRA |
Blogers kutoka Tone Media Group walikuwa watu wa mwanzo kuwasili katika darasa |
Baadhi ya Waandishi wa habari na Blogers waliohudhuria uzinduzi wa mafunzo ya Blogers Jijini Dar leo asubuhi |
Post a Comment
Post a Comment