Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT) |
Innocent Mungy wa TCRA akitoa mada siku ya mwisho ya mafunzo kwa blogers wa Tanzania |
Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Forum Maxence Melo akielezea changamoto walizokutana nazo katika uendeshaji wa mtandao wa Jamii Forums |
Wakurugenzi wa Jamii Forums kutoka (kushoto) Mike Mushi na Maxene Melo wakiwa katika mafunzo maalumu kwa Blogers wa Tanzania, mafunzo yaliyoendeshwa na TCRA |
Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT)na Innocent Mungy wakijadili jambo katika mafunzo kwa Blogers wa Tanzania |
Mwandishi wa Blogu hii Rashid Mkwinda akielezea uzoefu wake na changamoto alizokutana nazo kwa miaka 8 tangu kuanza kublog |
Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Media Group Fred Njeje akielezea uzoefu wake wa kublog na changamoto za blogers wa Tanzania Kimataifa |
Mwandishi wa Blog hii akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Nkoma kutambua mchango wake wa kublog na mawasiliano ya mitandao ya Kijamii nchini |
Mwandishi Mkuu wa Blog ya Mbeya Yetu Joseph Mwaisango akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA katika kutambua mchango wake wa kublog na mawasiliano ya mitandao ya Kijamii nchini |
Blogers |
Post a Comment
Post a Comment