Mwezeshaji kutoka chama cha Waandishi wa Habari Wanawake TAMWA Martha Ngwira akitoa ufafanuzi juu ya mafunzo kwa wanahabari juu ya Ukatili wa Kijinsia |
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini |
Mwezeshaji Jessey Kwayu akifuatilia kwa makini mjadala wa wanahabari katika mafunzo ya uandishi wa habari zinazohusu ukatili wa Kijinsia |
Baadhi ya Wanahabari wakifuatilia kwa makini mada inayotolewa juu ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi kuhusu Ukatili wa Kijinsia |
Post a Comment
Post a Comment