|  | 
| Mwezeshaji kutoka chama cha Waandishi wa Habari Wanawake TAMWA Martha Ngwira akitoa ufafanuzi juu ya mafunzo kwa wanahabari juu ya Ukatili wa Kijinsia | 
|  | 
| Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini | 
|  | 
| Mwezeshaji Jessey Kwayu akifuatilia kwa makini mjadala wa wanahabari katika mafunzo ya uandishi wa habari zinazohusu ukatili wa Kijinsia | 
|  | 
| Baadhi ya Wanahabari wakifuatilia kwa makini mada inayotolewa juu ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi kuhusu Ukatili wa Kijinsia | 




Post a Comment