Ads (728x90)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani, Ofisa Usalama wa Mkoa wa Mbeya Salmin na mwakilishi wa IGP Rashid Omar wakiwa katika picha ya pamoja na wadau katika siku ya Jeshi la Polisi ambapo wananchi walielezea changamoto mbalimbali zinazolikabili Jeshi la Polisi ikiwemo vitendo vya rushwa kwa askari wa usalama barabarani, Trafiki

Baadhi ya wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika siku ya Jeshi la Polisi katika Hotel ya Mount Livingstone Jijini Mbeya



Post a Comment

Post a Comment