|  | 
| Hili sio handaki ni shimo linalohifadhi maji machafu kutoka katika choo kilichopo uwanjani humo ambacho huhudumia watazamaji 20,000 | 
|  | 
| Kumradhi wasomaji hii ndiyo hali halisi ya uwanja tusipofanya hivi hawawezi kuuboresha, tunachojiuliza mapato yanafanya kazi gani | 
|  | 
| Hili sio jalala la taka bali ni moja ya eneo lililopo katika uwanja wa Sokoine. | 
|  | 
| Dimba la Sokoine linavyoonekana katikati | 
|  | 
| Hiki ndicho choo kinachotumika uwanjani | 
|  | 
| Mifereji ya maji machafu inatiririka kila kukicha nje ya uwanja huo na kutishia afya ya wakazi waishio katika vyumba vya uwanja huo. | 
|  | 
| Vipo pia vichaka ambavyo wahuni wanaweza kutumia kwa ajili ya kujificha kabla ya mechi | 
|  | 
| Moja ya mageti ya kuingilia uwanjani upande wa mashariki ya uwanja | 
|  | 
| Mashabiki wakiwa wameketi katika moja ya majukwaa ya uwanja huo baada ya kulipa viingilio | 
|  | 
| Mashabiki wakishangilia moja kati ya mechi katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya | 
|  | 
| Sehemu ya umati wa watazamaji wanaoingia uwanjani kushuhudia mechi za Ligi kuu | 
|  | 
| Umati wa watazamaji wanaoingia kwa ajili ya mechi kubwa katika uwanja huo | 
|  | 
| Vitega uchumi vinavyouzunguka uwanja huo | 
|  | 
| Lango kuu la kuingilia uwanjani ambalo hutumika pia kwa ajili ya magari | 
|  | 
| Baadhi ya nyumba za biashara zinazozunguka uwanja ambazo ni sehemu ya mapato ya uwanja huo | 
|  | 
| Shimo la maji machafu, mbele ni choo ambacho kinachokidhi watazamaji 20,000 wanaoingia uwanjani | 







Post a Comment