Ads (728x90)

Hii ndiyo ardhi na haya ndiyo makazi ya wakazi wa Chunya ambao ardhi yao imejaa utajiri usio kifani ambao unanufaisha wageni ilhali ardhi ya wenyeji ikichakaa na kuwa kame kama inavyoonekana pichani
Jamaa akinionesha punje za dhahabu ambazo akikusanya zikifikia kipimo cha pointi mojna anauza kwa sh. 5000 kwa siku moja anaweza kukusanya hadi pointi tano inategemea na bahati yake.
Jamaa akisaka dhahabu mtoni kwa udi na uvumba kuanzia asubuhi hadi jua linazama

Sijui nitaokota bonge la dhahabu kwenye mto nami siku moja niwe tajiri!!! duu!!
Duu!!handaki lote hili lieingia ardhini zaidi ya kilomita 30 wachimbaji huingia humo na kusaka dhahabu!!!

Post a Comment

Post a Comment