|  | 
| Nyumba iliyoingia mgogoro wa kifamilia ikiwa imefungwa kwa amri ya Baraza la Nyumba, huku watoto wakiwa nje | 
|  | 
| Jirani Bi. Esther Mwailubi akielezea historia ya nyumba ya jirani yake marehemu Samwel Moyo ambayo aliwaachia wanawe, ambayo mama aliyeachika ameenda mahakamani kudai kuwa ni nyumba yake | 
|  | 
| Mke wa mtoto wa marehemu Quen Gilbert ambaye alikuwa anaishi katika nyumba hiyo akiwa ameduwaa baada ya watu wanaodaiwa kutokea mahakamani kuamuru watoe vitu vyao nje. | 
|  | 
| Baadhi ya wananchi waliokusanyika mtaa wa Nzovwe kushuhudia namna ambavyo vitu vikitolewa nje kwa madai kuwa nyumba hiyo ni mali ya mwanamke aliyeachwa na marehemu. | 
|  | 
| Mke wa mtoto wa mwenye nyumba akiwa analia kwa uchungu baada ya kutolewa vitu vyake nje. | 
|  | 
| Wakazi wa maeneo ya Nzovwe wakishuhudia tukio la utoaji wa vitu katika nyumba yenye mgogoro | 
|  | 
| Gilbert Moyo mtoto wa marehemu Samwel Moyo akielezea namna ambavyo mama yake wa kambo alivvyokuwa na mgogoro na familia hiyo hata wakati baba yake mzazi alipokuwa hai. | 
|  | 
| Baadhi ya samani zikiwa zimetupwa nje ya nyumba | 
|  | 
| Mtu ambaye baadaye alikuja kufahamika kuwa ni dalali akisindikizwa na askari polisi akiwa ametoka kutia kufuri nyumba hiyo baada ya samani kutolewa nje. | 
|  | 
| Kufuri likiwekwa mlangoni baada ya samani zote kutolewa nje. | 



Post a Comment