|  | 
| Wanahabari wakijadiliana jambo na viongozi wa kamati ya Maudhui ya TCRA katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya. | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA Bi. Margareth Munyagi akisisitiza jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya waandaaji wa vipindi kutoka Redio mbalimbali za nyanda za juu kusini | 
|  | 
| Pichani washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa | 
|  | 
| Baadhi ya waandishi wa hanabri kutoka vituo mbalimbali vya Redio wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe na viongozi wa Kamati ya Maudhui ya TCRA | 






Post a Comment