NI fursa adimu na adhimu kwa wafanyabiashara na watangazaji wa mkoa wa Mbeya ambayo ilikosekana kwa muda mrefu,ufumbuzi wa matatizo yako ya kutangaza biashara sasa yamepata dawa Mujarabu, ni jarida jipya la kipekee na la aina yake lililoandaliwa na waandaaji wa matangazo waliobobea nchini linakujia punde katika Jiji la Mbeya na wilaya zake.Jarida litasheheni matangazo kutoka kwa wadau na watangazaji kutoka Taasisi za Kiserikali na makampuni binafsi, shule za msingi na sekondari, Mahoteli,na mengine mengi ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii vinavyojulikana na vile visivyojulikana,Ewe mkazi wa Mkoa wa Mbeya na wilaya zake kilio chako cha muda mrefu sasa kinatarajia kupatiwa ufumbuzi,nakala hii itakayoanza kutoka kwa awamu itagawiwa BURE bila malipo yoyote. kwa mawasiliano zaidi twanga kwenye namba zilizopo kwenye kipeperushi hicho hapo juu |
|
Post a Comment
Post a Comment