Mishikaki maalum kunywea kinywaji baridi au Gah-wa ambayo hukupa hamu ya kuendeleaa kula na kunywa |
Aina hii ya mishikaki ni maalum kwa wale waliolala na hang over |
Kuku Choma na Chips inapendeza zaidi kukamulia limao na pilipili kwa mbaaali humpa mlaji hamu ya kula |
Baadhi ya walaji hupenda nyama iliyoiva bila kukauka na wengine hupendelea iliyoiva na kukauka ni uchaguzi wa mlaji mwenyewe namna ambavyo anapendelea. |
Mmoja wa waandaaji Aziz Chonya akiwa katika harakati za maandalizi ya maakuli kwa ajili ya walaji Nyama Choma nyakati za jioni Jijini Mbeya |
Mchomaji mashuhuri wa Chips akiendelea na makarangizi |
Hima hima jamaa wanasubiri finyangooo!!!! ndivyo anavyoelekea kuhimiza Aziz Chonya |
Nyama Choma zikiwa jikoni kabla ya kumfikia mlaji |
Chips zikiwa katika maandalizi |
Add caption |
Post a Comment
Post a Comment