Baadhi ya mashabiki wakiigiza namna ambavyo wataiadhibu timu ya Simba katika mchezo unaotarajiwa kuchwezwa katika dimba la Sokoine Jijini Mbeya leo jioni. |
Mashabiki wa Mbeya City wakijimwaya mwaya kuashiria kushinda mechi ya leo baina ya timu yao na Simba |
Kama ilivyo ada kwa mechi kubwa kubwa machinga nao wakiwa katika harakati za kujipatia riziki ya kuuza jezi za timu mbalimbali wakati wa mechi za ligi kuu |
Mashabiki wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kuingia uwanjani muda huu |
Mashabiki wakiingia ndani ya uwanja wa Sokoine muda huu |
foleni kwa ajili ya kukata tiketi |
Post a Comment
Post a Comment