Baadhi ya wanahabari wa mikoa ya Katavi na Rukwa wakiwa katika mafunzo ya juu ya utafiti wa masuala ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto |
Wanahabari wa mikoa ya Katavi na Rukwa wakiwa katika majadiliano ya vikundi juu ya masuala ya habari za Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto |
Mwandishi wa habari Juddy Ngonyani akielezea kisa mkasa juu ya matukio ya Habari za Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake na watoto |
Mwandishi wa Habari Petty Siyame akielezea Kisa Mkasa juu ya tukio alilowahi kuripoti juu ya Habari za Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake. |
Wanahabari wakiwa katika kazi za vikundi kujadili masuala ya ukatili wa kijinsia dhdi ya wanawake na Watoto |
Mwanahabari Petty Siyame akiwasilisha maelezo katika mjadala wa vikundi kuhusu masuala ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na watoto |
Kazi za Vikundi |
Majadiliano ya Vikundi |
Mwanahabari Venance Matinya akiwasilisha moja ya kazi za Vikundi |
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyofadhiliwa na Chama Cha Waandishi wa Habari TAMWA wakiwa katika picha ya pamoja |
Post a Comment
Post a Comment