|  | 
| Baadhi ya wanahabari wa mikoa ya Katavi na Rukwa wakiwa katika mafunzo ya juu ya utafiti wa masuala ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto | 
|  | 
| Wanahabari wa mikoa ya Katavi na Rukwa wakiwa katika majadiliano ya vikundi juu ya masuala ya habari za Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto | 
|  | 
| Mwandishi wa habari Juddy Ngonyani akielezea kisa mkasa juu ya matukio ya Habari za Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake na watoto | 
|  | 
| Mwandishi wa Habari Petty Siyame akielezea Kisa Mkasa juu ya tukio alilowahi kuripoti juu ya Habari za Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake. | 
|  | 
| Wanahabari wakiwa katika kazi za vikundi kujadili masuala ya ukatili wa kijinsia dhdi ya wanawake na Watoto | 
|  | 
| Mwanahabari Petty Siyame akiwasilisha maelezo katika mjadala wa vikundi kuhusu masuala ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na watoto | 
|  | 
| Kazi za Vikundi | 
|  | 
| Majadiliano ya Vikundi | 
|  | 
| Mwanahabari Venance Matinya akiwasilisha moja ya kazi za Vikundi | 
|  | 
| Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyofadhiliwa na Chama Cha Waandishi wa Habari TAMWA wakiwa katika picha ya pamoja | 







Post a Comment