Muuza madafu wa Jijini Dar es salaam maeneo ya Mbagala Rangi Tatu akiwakatia dafu wateja wa kinywaji hicho, dafu huuzwa kati ya sh. 500 hadi 600 |
Baada ya kukatiwa, wateja hugugumia madafu kwa pupa kukata kiu |
Ni raaha kulinywa!!! |
Burudika, Habarika, Elimika
Post a Comment
Post a Comment