|  | 
| Muuza madafu wa Jijini Dar es salaam maeneo ya Mbagala Rangi Tatu akiwakatia dafu wateja wa kinywaji hicho, dafu huuzwa kati ya sh. 500 hadi 600 | 
|  | 
| Baada ya kukatiwa, wateja hugugumia madafu kwa pupa kukata kiu | 
|  | 
| Ni raaha kulinywa!!! | 
Burudika, Habarika, Elimika
Post a Comment