HABARI KATIKA PICHA Rashid Mkwinda 3:15 PM Wanafunzi hawa wa shule ya Msingi Mwaka na Mlimani mjini Tunduma, wakinywa maji katika bomba ya maji iliyopasuka Bomba la maji lililopasuka katika eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma likiwa limeachwa bila kuzibwa habaripicha
Post a Comment
Post a Comment