| Mke wa marehemu akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Mtaki eneo la Mpemba |
![]() |
| Marehemu Shomi Mtaki enzi za uhai wake |
![]() |
| Ni kama alikuwa akiashiria kuaga ndugu zake |
![]() |
| Safari kutoka chumba cha maiti Hospitali ya Wilaya Vwawa Mbozi |
![]() |
| Safari inaendelea kurejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya mazishi |
![]() |
| Hatimaye msafara unaingia Tunduma mjini |
![]() |
| Kuelekea nyumbani kwa marehemu Mtaki |
![]() |
| Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa nyumbani |
![]() |
| Add caption |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wanaomboleza kifo cha Mpendwa wao Shomi Mtaki |
![]() |
| Mwakilishi wa waandishi wa habari Ulimboka Mwakilili akitoa salamu za rambi rambi kutoka kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya |
![]() |
|
Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akifuatiwa na Mweka hazina wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Brandy Nelson wakimfariji mjane |
![]() |
| Msafara kuelekea katika kanisa la Moravian Usharika wa Tunduma |
![]() |
| Msafara unaelekea kanisa la Moravian |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Momba Abihudi Saideya akiweka shada la maua katika kaburi la Shomi Mtaki shambani kwake Mpemba-Tunduma |

















Post a Comment
Post a Comment