Ads (728x90)

Gari hili mali ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wilayani Rungwe limetunzwa kwa miaka mingi na linaendelea kufanya kazi hadi sasa

Kuna haja ya serikali kuangalia uwezekano wa kuliingiza gari hili kwenye makumbusho ya Kitaifa huku ikiweka mazingira bora kwa wamiliki wa gari hili ambao ni Chuo Cha Walimu Mpuguso wanaoendelea kulitunza gari hili kwa miaka nenda rudi huku taasisi zingine zikiendelea kununuliwa magari mapya kila kukicha

Mbali ya kuwa gari hili ni kongwe lakini bado zima na linaendelea kutoa huduma chuoni hapo, serikali ya Wilaya iangalie uwezekano wa kuliingiza gari hili kwenye makumbusho

Post a Comment

Post a Comment