|  | 
| Gari hili mali ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wilayani Rungwe limetunzwa kwa miaka mingi na linaendelea kufanya kazi hadi sasa | 
|  | 
| Mbali ya kuwa gari hili ni kongwe lakini bado zima na linaendelea kutoa huduma chuoni hapo, serikali ya Wilaya iangalie uwezekano wa kuliingiza gari hili kwenye makumbusho | 

Post a Comment