RATIBA YA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA, ROBO NA NUSU FAINALI |
Mtanange wa michuano ya Kombe la Dunia inatarajia kuanza tena leo usiku baada ya kusimama kwa takribani siku mbili.
Timu nane zinatarajia kutunishiana misuli katika mechi hizo za lala salama kumsaka bingwa wa kombe la Dunia kwa mwaka 2014.
Timu za mwanzo kuanza kutunishiana misuli leo ni kati ya Ufaransa inatarajia kukutana na Ujerumani na mechi ya pili ni ile ya Brazili inayotarajia kukutana na Colombia.
Mechi zingine zinatarajia kuchezwa kesho ambazo ni Argentina na Ubeligiji na mechi itakayofuata ni ya Uholanzi na Costa Rica.
Post a Comment
Post a Comment