Ads (728x90)

Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa Jijini Mbeya
Askari wa JWTZ wakibadilishana mawazo kabla ya kufanyika kwa tendo la kumbukumbu ya Mashujaa.
Mzee Ernest Waya(92) akisindikizwa kuweka shoka ikiwa ni ishara ya kumbukumbu ya mashujaa
Mmoja wa wazee walioshiriki vita Kuu
Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa Jijini Mbeya leo
 
Askari wa JWTZ wakiwa katika maombolezo kuwakumbuka Mashujaa waliopigana Vita Kuu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiweka mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo asubuhi

Post a Comment

Post a Comment